Loading...

Wanachama wa ACT - Wazalendo Kigoma Mjini wajitokeza kumsindikiza Zitto kuzindua kampeni


Wanachama na wafuasi wa Chama cha ACT -Wazalendo katika Jimbo la Kigoma Mjini, wakimsindikiza mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya chama hicho Zitto Kabwe akielekea katika uwanja wa Nyota kwa ajili ya kuzindua kampeni.

Kiongozi huyo mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo anazindua kampeni leo Septemba 6, 2025 rasmi baada ya hatua za awali katika mchakato wa uchaguzi ndano ya ACT- Wazalendo kukamilika na kumteua kuwa mgombea rasmi wa nafasi hiyo.







Wanachama wa ACT - Wazalendo Kigoma Mjini wajitokeza kumsindikiza Zitto kuzindua kampeni  Wanachama wa ACT - Wazalendo Kigoma Mjini wajitokeza kumsindikiza Zitto kuzindua kampeni Reviewed by Zero Degree on 9/06/2025 06:35:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.