Loading...

Bacca amefungiwa mechi tano


Mchezaji wa Yanga SC, Ibrahim Abdullah ‘Bacca’ amefungiwa michezo mitano kwa kosa la kumkanyaga kwa makusudi mchezaji wa klabu ya Mbeya City, Ibrahim Ame.

Adhabu hiyo ni kwa mujibu wa Kanuni ya 41:21 ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa Wachezaji. Bodi ya Ligi Kuu Tanzania imesema rafu hiyo ilionekana kuwa mbaya zaidi na ingeweza kuhatarisha usalama wa mchezaji.





Bacca amefungiwa mechi tano Bacca amefungiwa mechi tano Reviewed by Zero Degree on 10/03/2025 06:54:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.