Klabu ya Simba SC imemtangaza Dimitar Pantev kuwa Meneja wao Mkuu mpya, ambaye anachukua nafasi ya Fadlu Davids aliyeondoka klabuni hapo mwishoni mwa mwezi Septemba.
Hatimaye Simba SC wamepata mrithi wa Fadlu Davids
Reviewed by Zero Degree
on
10/03/2025 07:50:00 PM
Rating: 5