P. Diddy amehukumiwa kifungo cha miezi 50 jela
Rapa na mfanyabiashara mashuhuri Sean “Diddy” Combs amehukumiwa kifungo cha miezi 50 jela (takribani miaka 4 na miezi 2) chini ya Sheria ya Shirikisho ya Mann Act, kwa makosa ya kusafirisha watu kwa ajili ya biashara haramu ya ngono. Hukumu hii inajumuisha miezi 14 aliyokuwa tayari ametumikia (time served).
Mbali na kifungo, Diddy amepigwa pia faini ya $500,000 (sawa na Tsh bilioni 1.2) na atawekwa chini ya uangalizi wa miaka mitano mara baada ya kutumikia kifungo.
P. Diddy amehukumiwa kifungo cha miezi 50 jela
Reviewed by Zero Degree
on
10/04/2025 01:44:00 AM
Rating:
