Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda akutana na kuzungumza na watumishi wa TBS
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah amekutana na kuzungumza na watumishi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wa Kanda ya Kaskazini wakiongozwa na Meneja wa Kanda hiyo Bw. Joseph Ismail.
Mazungumzo hayo yalifanyika alipokwenda kuona maendeleo ya Shirika hilo na kusikiliza changamoto walizonazo katika utoaji wa huduma, Oktoba 04, 2025 Jijini Arusha.
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda akutana na kuzungumza na watumishi wa TBS
Reviewed by Zero Degree
on
10/05/2025 06:04:00 PM
Rating:
