Loading...

Rais wa TFF, rais wa Yanga wahudhuria Mkutano Mkuu wa 47 wa CAF

Rais wa TFF, Wallace Karia (Kulia), Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Ethiopia, Isayas Jirra Bosho (Katikati) na Rais wa Yanga, Mhandisi Hersi Said

Rais wa TFF na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji CAF, Wallace Karia (Kulia), akiwa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Ethiopia Isayas Jirra Bosho (Katikati) na Rais wa Young Africans na Mwenyekiti wa Vilabu Africa (ACA) Mhandisi Hersi Said kwenye Mkutano Mkuu wa 47 wa CAF uliofanyika leo Kinshasa, Congo DRC.
Rais wa TFF, rais wa Yanga wahudhuria Mkutano Mkuu wa 47 wa CAF Rais wa TFF, rais wa Yanga wahudhuria Mkutano Mkuu wa 47 wa CAF Reviewed by Zero Degree on 10/06/2025 05:53:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.