Serikali yaiongeze Kampuni ya Viettel nyongeza ya Mkataba wa ujenzi wa miundombinu ya mawasiliano
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Bw. Mohammed Khamis Abdulla na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Viettel, Bi. Nguyen Thi Hoa wametia saini Hati ya Makubaliano (Deed of Settlement) na nyongeza ya Mkataba (Addendum) wa ujenzi wa miundombinu ya mawasiliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kampuni ya Viettel Global Joint Stock (VTG).
Serikali yaiongeze Kampuni ya Viettel nyongeza ya Mkataba wa ujenzi wa miundombinu ya mawasiliano
Reviewed by Zero Degree
on
10/06/2025 05:58:00 PM
Rating: