Mhe. Ridhiwani akagua maandalizi ya kilele cha mbio za mwenge
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amekagua Maandalizi ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa uwanja Sokoine, pia ametembelea viwanja vya Uhindini jijini Mbeya ambapo yanafanyika maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa.
Aidha Mhe. Ridhiwani ameridhishwa na maandalizi ya maadhimisho ya Wiki ya Vijana Kitaifa na Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2025 yanayotarajiwa kufanyika Jijini Mbeya Oktoba 14, 2025.
Mhe. Ridhiwani akagua maandalizi ya kilele cha mbio za mwenge
Reviewed by Zero Degree
on
10/08/2025 05:45:00 AM
Rating:
