Loading...

Paccome ajiunga na wenzake katika timu yake ya Taifa ya Ivory Coast


Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Pacome Zouzoua, ameungana na wenzake katika timu ya taifa ya Ivory Coast kuanza maandalizi ya michezo ya kufuzu Kombe la Dunia 2026.

Zouzoua, ambaye amekuwa katika kiwango bora tangu kuanza kwa msimu huu, anatarajiwa kuwa sehemu muhimu ya kikosi hicho.
Paccome ajiunga na wenzake katika timu yake ya Taifa ya Ivory Coast Paccome ajiunga na wenzake katika timu yake ya Taifa ya Ivory Coast Reviewed by Zero Degree on 10/07/2025 10:41:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.