TRA kuendelea kuboresha mifumo ya kodi
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inaendelea kuboresha mifumo ya kodi ili kuongeza ufanisi, kurahisisha ulipaji wa hiari na kuhakikisha kila Mlipakodi anahudumiwa kwa haki na kwa uwazi.
Hayo yameelezwa Jumatatu tarehe 06.10.2025 na Kamishna wa Upelelezi wa Kodi TRA Bw. Hashim Ngoda wakati wa maadhimisho ya Wiki ya huduma kwa wateja yaliyofanyika kituo cha Huduma za kodi cha Buguruni kilichopo chini ya Ofisi ya Mkoa wa Kikodi Ilala.
TRA kuendelea kuboresha mifumo ya kodi
Reviewed by Zero Degree
on
10/06/2025 11:20:00 PM
Rating:
