Loading...

Simba yaiadhibu Nsingizini bila huruma


Timu ya Simba, imeibuka na ushindi wa mabao matatu katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Nsingizini Hotspurs ya nchini Eswatini.

Katika mchezo huo uliopigwa kwenye dimba la Somhlolo, mabao ya Simba yamefungwa na beki wa kati, Wilson Nangu (45’) na Kibu Dennis aliyefunga mabao mawili.

FT: Nsingizini Hotspurs 0️⃣🆚3️⃣ Simba SC

Simba yaiadhibu Nsingizini bila huruma Simba yaiadhibu Nsingizini bila huruma Reviewed by Zero Degree on 10/19/2025 10:43:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.