Loading...

Yanga SC imevunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza, Romain Folz


UONGOZI wa Young Africans Sports Club umevunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza, Romain Folz.

Kwa sasa kikosi cha klabu hiyo kitakuwa chini ya kocha Msaidizi Patrick Mabedi huku mchakato wa kutafuta Kocha Mkuu ukiendelea.

Hapo chini ni taarifa kamili iliyotolewa na uongozi wa klabu ya Yanga:



Yanga SC imevunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza, Romain Folz Yanga SC imevunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza, Romain Folz Reviewed by Zero Degree on 10/18/2025 10:51:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.