Loading...

JPM amteua Waziri Mkuu Mstaafu


Rais John Magufuli amemteua Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa David Msuya, kuwa Mkuu wa Chuo cha Ardhi kwa miaka mingine miwili. Uteuzi huo umeanza jana Oktoba 22, 2019.


Taarifa iliyotolewa na Ikulu leo Oktoba 23, 2019, imeeleza kuwa, uteuzi huo umeanza jana Oktoba 22, 2019.

Msuya amewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kwa vipindi viwili tofauti akianza Novemba 7, 1980 hadi Februari 24, 1983 kisha kuongoza tena Desemba 7, 1994 hadi Novemba 28, 1995.

JPM amteua Waziri Mkuu Mstaafu JPM amteua Waziri Mkuu Mstaafu Reviewed by Zero Degree on 10/23/2019 12:40:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.