Loading...

Matokeo Ya Kidato Cha Sita Na Ualimu 2024 Yaliyotangazwa Na NECTA haya hapa


Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), Julai 13, 2024 limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha sita pamoja na ualimu.

Katibu Mtendaji Mkuu wa NECTA, Dkt. Said Mohamed amesema ufaulu wa mwaka huu 2024 umepanda mpaka asilimia 99.1.

BOFYA HAPO CHINI KUTAZAMA 


MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2024

Matokeo Ya Kidato Cha Sita Na Ualimu 2024 Yaliyotangazwa Na NECTA haya hapa Matokeo Ya Kidato Cha Sita Na Ualimu 2024 Yaliyotangazwa Na NECTA haya hapa Reviewed by Zero Degree on 7/14/2024 02:17:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.