Mkutano wa kwanza kufanyika Korea Kaskazini katika miaka 30
Rais wa Korea Kaskazini Kim Jong-un, anaongoza mkutano wa kwanza kabisa wa chama tawala cha wafanyikazi baada ya miaka 30.
Runinga ya taifa huko Pyongyang, imetangaza kuwa watu watakusanyika mwezi mei mwakani, lakini haikutoa taarifa ya kina.
Rais Kim amesema hilo litasaidia kuimarisha chama hicho.
Mkutano wa mwisho wa Congress ulifanyika mwaka 1980, chini ya muanzilishi wa taifa la Korea Kaskazini hayati Kim babu yake rais wa sasa Kim Il-sung.
Mkutano wa kwanza kufanyika Korea Kaskazini katika miaka 30
Reviewed by Zero Degree
on
10/31/2015 07:42:00 AM
Rating: