Loading...

Wanawake wapewa talaka kwa kuiunga mkono CCM huko Zanzibar!

Takriban wanawake 14 kutoka Zanzibar nchini Tanzania wanaotuhumiwa kukiunga mkono chama tawala cha mapinduzi CCM katika uchaguzi uliopita kinyume na matakwa ya waume zao wamepewa talaka.

Kulingana na gazeti la Zanzibar daily Newspaper.
Watalakiwa hao wamesema kuwa wanaume zao waliamua kuwapatia talaka nyakati tofauti kutokana na tofauti za kisiasa kwa mujibu wa gazeti hilo.
Limeongezea kwamba wanaharakati kutoka kwa muungano wa mawakili wanawake kisiwani pamoja na mungano wa wanahabari wa kike nchini Tanzania wamesikia kuhusu visa kama hivyo na wameahidi kufuatilia swala hilo.



Share this story as much as you can!!!!!!!!!!
Wanawake wapewa talaka kwa kuiunga mkono CCM huko Zanzibar! Wanawake wapewa talaka kwa kuiunga mkono CCM huko Zanzibar! Reviewed by Zero Degree on 11/19/2015 11:36:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.