Rais Obama Amwaga Machozi Hadharani??? Soma habari kamili hapa kuona kilichomfanya raisi huyo wa marekani kumwaga chozi hadharani.
Obama aliwaambia Wamarekani kwamba mageuzi anayoyatete ni kwa manufaa yao wenyewe kwa kuwa yeye huu ni mwaka wake wa mwisho kukaa madarakani na wala hana mpango wa kugombea.
Rais Obama anataka watu wote wanaouza silaha washurutishwe kuwapekua na kuchunguza historia ya watu wanaowauzia silaha.Kwa sasa, takwa hilo hugusa tu wauzaji silaha waliosajiliwa.
Wauza silaha ambao hawajasajiliwa, hutakiwa kuwauliza tu wateja wao iwapo wamewahi kupatikana na makosa ya uhalifu au kama wana matatizo ya kiakili.
Hatua hiyo ya Rais Obama imepingwa vikali na baadhi ya viongozi wakuu wa chama cha Republican wanaosema inaingilia uhuru wa kikatiba wa Wamarekani.
Source: Mpekuzi
Comment & Share this!!
Rais Obama Amwaga Machozi Hadharani??? Soma habari kamili hapa kuona kilichomfanya raisi huyo wa marekani kumwaga chozi hadharani.
Reviewed by Zero Degree
on
1/06/2016 01:02:00 PM
Rating: