Loading...

Waziri wa Kilimo, Mifugo, na Uvuvi, afanya ziara ya kushitukiza usiku Machinjioni-Dar.


Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mwigulu Nchemba akizungumza na viongozi wa machinjio ya Vingunguti – Dar mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza usiku wa kuamkia leo.


…akipewa maelekezo


…akikagua machinjio hayo




WAZIRI wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mwigulu Nchemba usiku wa kuamkia leo amefanya ziara ya ghafla na ya kushtukiza katika machinjio ya nyama Vingunguti jijini Dar es Salaam.


....akizungumza na uongozi wa machinjio

Katika ukurasa wake rasmi wa twitter, Mwigulu amesema kuwa lengo la ziara yake hiyo lilikuwa ni kwenda kujionea mwenyewe jinsi Serikali inavyopoteza mapato katika sekta hiyo ambapo amebaini kuwa zaidi ya mapato ya ng’ombe 1107 hupotea kila siku na kuishia mifukoni mwa wajanja.


Source: GPL


Comment & Share this story!!
Waziri wa Kilimo, Mifugo, na Uvuvi, afanya ziara ya kushitukiza usiku Machinjioni-Dar. Waziri wa Kilimo, Mifugo, na Uvuvi, afanya ziara ya kushitukiza usiku Machinjioni-Dar. Reviewed by Zero Degree on 1/02/2016 04:17:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.