Loading...

Kivuko cha MV KIGAMBONI DAR chanusurika kuzama leo.


Kivuko cha MV Magogoni kimepoteza mwelekeo na kuacha njia yake hali ilozua taharuki kwa abiria.

Vilio na kelele zilisikika pale maji yalipoanza kupanda ndani ya kivuko.
Hali hiyo ilisababisha abiria waanze kujitosa ndani ya maji kwa wale wanaojua kuogelea. Hakika watu wa Kigamboni wanatembea roho mkononi.

 


Credits: Mtembezi





ZeroDegree.
Kivuko cha MV KIGAMBONI DAR chanusurika kuzama leo. Kivuko cha MV KIGAMBONI DAR chanusurika kuzama leo. Reviewed by Zero Degree on 2/11/2016 05:37:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.