Loading...

National Alliance and Reconstruction [ NRA ] waungana na CCM kushiriki UCHAGUZI wa marudio visiwani Zanzibar.


CHAMA cha National Alliance and Reconstruction (NRA) kimesema kitashiriki uchaguzi wa marudio visiwani Zanzibar uliopangwa kufanyika Machi 20, 2016 na kukanusha tamko lililotolewa na mgombea wao wa urais Zanzibar kwamba chama hicho kimejitoa.

Katibu Mkuu wa NRA, Hassan Almasi Kisabya, amewaambia wanahabari jijini Dar es Salaam kwamba, tamko lililotolewa na mgombea huyo Seif Ali Iddi Februari 14, 2016 ni la kupuuzwa kwa sababu siyo tamkoa la chama.

Credits: Mtembezi



ZeroDegree.
National Alliance and Reconstruction [ NRA ] waungana na CCM kushiriki UCHAGUZI wa marudio visiwani Zanzibar. National Alliance and Reconstruction [ NRA ] waungana na CCM kushiriki UCHAGUZI wa marudio visiwani Zanzibar. Reviewed by Zero Degree on 2/17/2016 09:19:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.