Loading...

Gari laua wanafunzi wakivuka barabara Mkoani Kagera.

Wanafunzi watatu wa kidato cha pili Shule ya Sekondari ya Gwanseri wilayani Muleba Mkoa wa Kagera, wamekufa kwa kugongwa na gari wakati wakivuka barabara.

Kamanda wa Polisi Wilaya ya Muleba, Razalo Mwanyasi alisema jana kuwa ajali hiyo ilitokea Julai 28 mwaka huu saa 1.30 asubuhi.

Alisema wanafunzi hao walikufa papo hapo kwa kugongwa na gari aina ya Scania.

Mwanyasi alisema chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi.

ZeroDegree.
Gari laua wanafunzi wakivuka barabara Mkoani Kagera. Gari laua wanafunzi wakivuka barabara Mkoani Kagera. Reviewed by Zero Degree on 7/30/2016 09:18:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.