Loading...

Msanii wa bongofleva, Marlaw kurudi kwenye game tena.

Producer wa smash hits kadhaa za bongo ikiwemo ‘make me sing’ ya Diamond Platnumz na rapper AKA wa Afrika Kusini Tudd Thomas, ameweka wazi kuwa msanii wa siku nyingi wa bongofleva Marlaw anatarajia kuachia album yake mpya yenye nyimbo 12.

"..Yule jamaa ana uwezo mkubwa sana, bado hatujapanga jina la albamu lakini nadhani kila kitu kikiwa tayari mashabiki watapewa taarifa, wasubirie tu"

Msikilize Tudd Katika video hapo chini…



Source: MillardAyo
ZeroDegree.
Msanii wa bongofleva, Marlaw kurudi kwenye game tena. Msanii wa bongofleva, Marlaw kurudi kwenye game tena. Reviewed by Zero Degree on 7/27/2016 11:48:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.