Loading...

Wachezaji walioachwa nje kumi-bora Ulaya.

Neymar hajajumuishwa orodha ya wachezaji kumi watakaoshindania tuzo.

Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) limetangaza orodha ya wachezaji kumi watakaoshindania tuzo ya mchezaji bora

Ulaya wa msimu wa 2015/16.

Orodha hiyo hata hivyo imewaacha nje wachezaji nyota wakiwemo Neymar kutoka Brazil.

Aidha, hakuna mchezaji yeyote anayechezea soka yake Uingereza. Jamie Vardy na Riyad Mahrez wanaochezea mabingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL) Leicester City walikaribia sana kuwa kwenye orodha hiyo.



Kumi-bora walioorodheshwa ni:



  1. Gareth Bale (Real Madrid & Wales)
  2. Gianluigi Buffon (Juventus & Italia)
  3. Antoine Griezmann (Atlético Madrid & Ufaransa)
  4. Toni Kroos (Real Madrid & Ujerumani)
  5. Lionel Messi (Barcelona & Argentina)
  6. Thomas Müller (Bayern München & Ujerumani)
  7. Manuel Neuer (Bayern München & Ujerumani)
  8. Pepe (Real Madrid & Ureno)
  9. Cristiano Ronaldo (Real Madrid & Ureno)

    Cristiano Ronaldo kuwa mwanasoka bora...??
  10. Luis Suárez (Barcelona & Uruguay)

Vardy na Mahrez wanaochezea Leicester walikaribia sana.



Waliotupwa nje


Walioachwa nje baada ya mchujo wa kwanza kufanyika, ndio hawa, orodha ikifuata wingi wa kura walizopata.

  11. Riyad Mahrez (Leicester & Algeria)

  12. Jamie Vardy (Leicester & England)

  13. Dimitri Payet (West Ham & Ufaransa)

  14. Jérôme Boateng (Bayern München & Ujerumani)

  15. Arturo Vidal (Bayern München & Chile)

  16. Luka Modrić (Real Madrid & Croatia)

  17. N'Golo Kanté (Leicester & Ufaransa)

  18. Zlatan Ibrahimović (Paris Saint-Germain/Manchester United & Sweden)

  19. Eden Hazard (Chelsea & Ubelgiji)

Ibrahimovic pia hakufanikiwa

 20. Andrés Iniesta (Barcelona & Uhispania)

 21. Neymar (Barcelona & Brazil)

 22. Renato Sanches (Benfica/Bayern München & Ureno)

 23. Robert Lewandowski (Bayern München & Poland)

 24. Gonzalo Higuaín (Napoli & Argentina)

 26. Giorgio Chiellini (Juventus & Italia)

 27. Diego Godin (Atlético Madrid & Uruguay)

 28. Will Grigg (Wigan & Ireland Kaskazini)

 29. Hugo Lloris (Tottenham & Ufaransa)

 30. Paul Pogba (Juventus & Ufaransa)

 31. Toby Alderweireld (Tottenham & Ubelgiji)

 32. Pierre-Emerick Aubameyang (Borussia Dortmund & Gabon)

 33. Kevin De Bruyne (Manchester City & Ubelgiji)

 34. Kevin Gameiro (Sevilla & Ufaransa)

 35. Grzegorz Krychowiak (Sevilla/Paris Saint-Germain & Poland)

 36. Blaise Matuidi (Paris Saint-Germain & Ufaransa)

 37. Georges-Kévin N'Koudou (Marseille & Ufaransa)

 38. Jan Oblak (Atlético Madrid & Slovenia)



ZeroDegree.
Wachezaji walioachwa nje kumi-bora Ulaya. Wachezaji walioachwa nje kumi-bora Ulaya. Reviewed by Zero Degree on 7/19/2016 09:31:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.