Loading...

Washindi wa Tuzo za Ligi Kuu Tanzania Bara hawa hapa.

Usiku wa July 17 2016 kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom ambayo ndio wadhamini wakuu wa Ligi Kuu soka Tanzania bara, walitangaza na kutoa tuzo 13 kwa wachezaji, refa na timu bora zilizofanya vizuri msimu wa 2015/2016, Vodacom kwa kushirikiana na TFF wamefanikiwa kuchagua na kutoa zawadi kwa washindi wa tuzo hizo.

List ya washindi wa tuzo na zawadi walizochukua
Mchezaji bora wa Ligi Kuu 2015/2016 ni Juma Abdul wa Yanga Tsh Milioni 9,228,820.
Mchezaji bora wa kigeni ni Thabani Kamusoko wa Yanga Tsh Milioni 5,742,940
Mfungaji bora ni Amissi Tambwe wa Yanga Tsh Milioni 5,742,940
Mchezaji bora chipukizi ni Mohamed Hussein wa Simba Tsh Milioni 4.
Golikipa bora ni Aishi Manula wa Azam FC Tsh Milioni 5,742,940
Refa bora ni Ngole Mwangole Tsh Milioni 5,742,940
Kocha bora ni Hans van Pluijm wa Yanga Tsh Milioni 8.
Timu yenye nidhamu Mtibwa Sugar Tsh Milioni 17,228,820
Bingwa wa Ligi Kuu Yanga Tsh Milioni 81,345,723
Mshindi wa pili Azam FC Tsh Milioni 40,672,861
Mshindi wa tatu Simba Tsh Milioni 29,052,044
Mshindi wa nne Tanzania Prisons Tsh Milioni 23, 241,635
Mfungaji wa goli bora ni Ibrahim Ajib wa Simba Tsh Milioni 3
ZeroDegree.
Washindi wa Tuzo za Ligi Kuu Tanzania Bara hawa hapa. Washindi wa Tuzo za Ligi Kuu Tanzania Bara hawa hapa. Reviewed by Zero Degree on 7/18/2016 10:59:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.