Loading...

Balotelli hadi huruma.

MARIO Balotelli ana gundu si bure. Baada ya Pescara kudai kwamba haina mpango na fowadi huyo, Sassuolo waliokuwa wakitajwa kwamba wanaiwinda saini ya mchezaji huyo wameibuka na kudai wala hawana shida naye.


Balotelli anazidi kukatawaliwa tu kupata dili kwenye timu nyingine kufuatia kocha wake Jurgen Klopp kwenye kikosi cha Liverpool kumweleza wazi anaruhusiwa kutafuta timu nyingine ya kwenda kucheza kwa kuwa hayupo kwenye mipango yake ya msimu huu. 

Timu iliyobaki na mipango ya kumsajili Balotelli ni Chievo peke yao. Nini kimemkuta Mario Baloteli??

Source: Mwananspoti
ZeroDegree.


Balotelli hadi huruma. Balotelli hadi huruma. Reviewed by Zero Degree on 8/16/2016 09:32:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.