Loading...

Dk Kipilimba ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa.

Rais Dk. John Pombe Magufuli leo amemteua Dk. Modestus Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Rashid Othman aliyestaafu.




Dk. Modestus Kipilimba ataapishwa leo Ikulu jijini Dar es Salaam.




ZeroDegree.
Dk Kipilimba ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa. Dk Kipilimba ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa. Reviewed by Zero Degree on 8/24/2016 11:00:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.