Matajiri wapo hatarini kupatwa na ugonjwa wa utapiamlo.
Matajiri na watu wenye kipato cha juu nchini, wapo hatarini kupatwa na ugonjwa wa utapiamlo unaosababishwa na uzito wa mwili uliopitiliza kutokana na ulaji wa vyakula visivyo na tija kiafya.
Takwimu zilizotolewa na Baraza la Afya Duniani kupitia Mzunguko wa Malengo ya Lishe (2025) zinaonyesha kuwa katika kila watoto 25 wa chini ya umri wa miaka mitano nchini, watano wanakabiliwa na tatizo la uzito wa mwili uliopitiliza.
Akizungumza na Mwananchi, Ofisa Mradi na Mtaalamu wa Lishe wa Jukwaa la Lishe nchini (Panita), Lucy Maziku kuwa hali ni mbaya zaidi kwa familia zenye kipato cha juu.
Maziku alisema baadhi ya watu huamini kula vyakula vya gharama visivyo na tija, vikiwamo vile vilivyohifadhiwa kwa muda mrefu kwenye maduka ya kisasa ‘Super Markets’, kunaonyesha uwezo wao kiuchumi, wakati ndiko kunako waangamiza.

ZeroDegree.
Matajiri wapo hatarini kupatwa na ugonjwa wa utapiamlo.
Reviewed by Zero Degree
on
8/10/2016 09:43:00 AM
Rating: