Loading...

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu aibuka kidedea tena.

Serikali imepigwa mweleka katika kesi ya uchochezi dhidi ya mshtakiwa Tundu Lissu baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutupa pingamizi la Wakili wa Serikali kutaka wakili Peter Kibatala kujitoa kumtetea mwanasiasa huyo.
 

Lissu, ambaye ni Mbunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya Chadema alipandishwa kizimbani Agosti 5, na kusomewa mashtaka matatu, mawili kati yake yakiwa ni ya uchochezi na moja la kuidharau mahakama.

Credits: Mwananchi
ZeroDegree.
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu aibuka kidedea tena. Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu aibuka kidedea tena. Reviewed by Zero Degree on 8/20/2016 08:00:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.