Loading...

Samsung: Kiwanda chetu hakina madhara ya kikemikali

Samsung imesema kufichua taarifa kama hizo ni kutoa siri za kibiashara.
Kampuni ya kielektroniki ya Samsung ya Korea Kusini, imekunusha taarifa zilizotolewa na familia ambazo zinataka fidia ya madhara ya viwanda.

Kundi la wafanyakazi limesema watu 76 wamefariki kutokana na kemikali za kiwanda ambacho kinatengeneza bidhaa za samsung.



Mamlaka inataka kujua aina ya kemikali inayotumika.

Baadhi ya kesi zilimalizika lakini,lakini nyingine zinachelewa kutokana na mamlaka Kutaka kujua ni kemikali gani zimesababisha ugonjwa na vifo.

Samsung imesema kufichua taarifa kama hizo ni kutoa siri za kibiashara.

Imekanusha kuzuia taarifa kinyume na sheria.


Source: BBC Swahili
ZeroDegree.
Samsung: Kiwanda chetu hakina madhara ya kikemikali Samsung: Kiwanda chetu hakina madhara ya kikemikali Reviewed by Zero Degree on 8/11/2016 10:29:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.