Loading...

Taarifa muhimu kwa wananchi toka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania.

TAHADHARI: Upepo mkali na mawimbi makubwa vinatarajiwa katika maeneo ya ukanda wa Ziwa Victoria na yale ya Pwani kuanzia kesho Jumatatu Agosti 29 alfajiri hadi Agosti 30 mchana. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imeeleza.





ZeroDegree.
Taarifa muhimu kwa wananchi toka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Taarifa muhimu kwa wananchi toka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Reviewed by Zero Degree on 8/28/2016 06:18:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.