Loading...

MADE in TANZANIA: Wale wanaopenda 'GAMES', Download na ucheze game letu "GEOMETRY RUNNER" playstore [Link ipo hapa].

KAZI na DAWA: Love App Inc. Inaamini kuwa ili kichwa chako kiweze kuwa na uwezo wa kufikiri katika mtiririko sahihi kinahitaji muda wa kupumzika. Kama unahisi kulala, kwenda beach kupata upepo, au vinginevyo ndio mapumziko peekee, unakosea sana. 

Kuna vitu vingi ambavyo mtu unaweza kufanya wakati wa mapuziko na bado ukaiweka akili yako sawia, moja wapo ikiwa ni kucheza Computer/Mobile Games. Love App Inc imeligundua hilo na kukuletea Game(GEOMETRY RUNNER) rahisi ambalo litakusaidia kuiweka akili yako sawa na kusogeza muda wako kila utapojaribu kucheza.

Bofya katika kiunganishi hiki Geometry Runner ili ku-download game hilo playstore. Ikumbukwe kuwa ku-download na vile vile kucheza game hilo ni bureeee!!!

Video hapo chini inakuonyesha jinsi Game lenyewe linavyochezwa kwale wenzangu tusipoenda kusoma maelezo, unaweza ukaona apo ni jinsi gani ilivo rahisi, ni swala la dakika 1 tu tayari utakuwa na uwezo wa kulielewa kucheza bila kuhitaji maelekezo zaidi:


Kwa maelezo zaidi tembele website yetu, bofya kiunganishi hiki: loveappinc.

NB: Game lipo katika lugha ya Kiingereza, isikupe tabu wewe fanya tu download naendelea kufurahia game hilo kama yalivo mengine. Tunapenda kukutaarifu tu kwamba MAREKEBISHO hayajaishia hapo, siku za karibuni game hilo litakuwepo katika lugha ya kiswahili pia. ASANTE!!

ZeroDegree.
MADE in TANZANIA: Wale wanaopenda 'GAMES', Download na ucheze game letu "GEOMETRY RUNNER" playstore [Link ipo hapa]. MADE in TANZANIA: Wale wanaopenda 'GAMES', Download na ucheze game letu "GEOMETRY RUNNER" playstore [Link ipo hapa]. Reviewed by Zero Degree on 8/28/2016 04:19:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.