Brazil yaiduwaza Argentina.
Michezo mitano ya kuwania tiketi ya kufuzu kwa fainali za kombe la mwaka 2018, imecheza kwa ukanda wa Marekani Kusini.
![]() |
Washambuliaji wa Brazil wakishangilia kwa staili ya kupiga simu. |
Venezuela wakicheza nyumbani nao wameibuka na ushindi wa kishindo kwa kuwachapa bolivia kwa mabao 5-0.
Paraguay wamekubali kichapo nyumbani baada ya kufungwa mabao 4-1 na Peru,Uruguay wakashinda kwa mabao 2 - 1 dhidi ya Ecuador.
![]() |
Mfungaji wa bao la kwanza la Uruguay Sebastian Coates akishangilia na Diego GodÃn. |
Colombia wakashindwa kuutumia vyema uwanja wa nyumbani baada ya kutoshana nguvu na Chile kwa sare ya bila kufungana.
ZeroDegree.
Brazil yaiduwaza Argentina.
Reviewed by Zero Degree
on
11/11/2016 09:58:00 AM
Rating:
