Mbeya vinara kwa uingizaji wa vipodozi bandia nchini.
- TFDA yakamata dawa za bandia zenye thamani ya zaidi ya milioni 17 na kufunga maduka 17 husika.
- Vipodozi vyenye sumu vyanaswa mkoani Ruvuma.
- Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania(TFDA) imeteketeza bidhaa feki zenye thamani za mamilioni ya fedha.
Sambamba na hilo, TFDA imeteketeza bidhaa nyingi za aina hiyo zilizoingizwa kutoka nchi za Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Zambia na Malawi.
Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa Mamlaka ya Chakula na Dawa(TFDA), Gaudensia Simwanza. |
Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa mamlaka hiyo, Gaudensia Simwanza alisema jana kuwa vipodozi katika mkoa huo huingia kupitia mpakani na njia za panya.
Credits: Mwananchi
ZeroDegree.
Mbeya vinara kwa uingizaji wa vipodozi bandia nchini.
Reviewed by Zero Degree
on
12/24/2016 01:26:00 PM
Rating: