Loading...

Rais Magufuli amefanya UTEUZI wa Mabalozi 21.

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 03 Desemba, 2016 amefanya uteuzi wa Mabalozi 15 ili kujaza nafasi zilizo wazi katika Balozi za Tanzania zilizopo katika nchi mbalimbali.


ZeroDegree.
Rais Magufuli amefanya UTEUZI wa Mabalozi 21. Rais Magufuli amefanya UTEUZI wa Mabalozi 21. Reviewed by Zero Degree on 12/03/2016 09:00:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.