Loading...

Rais Magufuli awapandisha vyeo maafisa wakuu wawili wa JWTZ kuwa meja jenerali.



Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli amewapandisha vyeo Maafisa Wakuu wawili wa JWTZ kuwa Meja Jenerali kuanzia tarehe 03 Disemba 2016.


Maafisa Wakuu hao ni: Brigedia Jenerali George William Ingram ambaye ni Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Anga, na Brigedia Jenerali Michael Wambura Isamuhyo ambaye ni Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa.

Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Uhusiano Makao Makuu ya Jeshi, Upanga


S.L.P 9203, Dar es Salaam, Tanzania.

Kwa Mawasiliano zaidi: 0784-477638/0756-716085

Brigedia Jenerali George William Ingram ambaye ni Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Anga.

Brigedia Jenerali Michael Wambura Isamuhyo ambaye ni Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa.

ZeroDegree.
Rais Magufuli awapandisha vyeo maafisa wakuu wawili wa JWTZ kuwa meja jenerali. Rais Magufuli awapandisha vyeo maafisa wakuu wawili wa JWTZ kuwa meja jenerali. Reviewed by Zero Degree on 12/07/2016 10:59:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.