Loading...

Wabunge wakihama Chama Tawala nchini Korea Kusini.

Rais wa Korea kusini Park Geun-hye.
Wabunge 29 wa Bunge la Korea kusini wamejiondoa katika chama tawala nchini humo.

Hatua hiyo imekuja kufuatia tuhuma za rushwa ambazo pia zinamgusa Rais wa nchi hiyo Park Geun-hye kwa mashtaka ya kutumia madaraka vibaya.

Hatua hiyo imekuja ikiwa imebaki miezi michache kufanyika kwa uchaguzi wa Rais.

Wabunge hao wanatarajiwa kuunda chama kingine kipya na upo uwezekano wa kumtaka Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayemaliza muda wake Ban Ki-Moon, kuwa mgombea wa chama hicho.

ZeroDegree.
Wabunge wakihama Chama Tawala nchini Korea Kusini. Wabunge wakihama Chama Tawala nchini Korea Kusini. Reviewed by Zero Degree on 12/27/2016 01:21:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.