Loading...

Wachina waendelea kumkomalia Rooney, wampa ofa ya mshahara wa pauni laki 7 kwa wiki.

NAHODHA wa England na Manchester United, Wayne Rooney, amepokea ofa ya mshahara wa pauni 700,000 kwa wiki ikiwa atakubali kuihama United na kwenda China.

Klabu za CSL Guangzhou Evergrande Taobao na Beijing Guoan, ndizo zinatajwa kuwa tayari kuvunja rekodi ya usajili duniani ili kuhakikisha Rooney anatua China na kuitangaza ligi yao.

ZeroDegree.
Wachina waendelea kumkomalia Rooney, wampa ofa ya mshahara wa pauni laki 7 kwa wiki. Wachina waendelea kumkomalia Rooney, wampa ofa ya mshahara wa pauni laki 7 kwa wiki. Reviewed by Zero Degree on 12/26/2016 04:37:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.