Loading...

AUDIO: Sikliza wimbo mpya wa Msanii Ben Pol - 'Phone' akimshirikisha mnaigeria, Mr Eazi.


Wakati bado ngoma yake ya Moyo Mashine unapata airtime ya kutosha kwenye TV na Radio stations Ben Pol amekutana na Mr Eazi ambaye ni mnigeria anayeishi Ghana, Mr Eazi ana hit songs zakutosha kama ‘Dance for me’, hollup na nyingine. Wawili hawa wametoa audio yao mpya inayoitwa ‘Phone’.

Isikilize hapo chini pia usisau kuacha comment zako ili Ben Pol akisoma ajue watanzania wameipokea vipi ngoma yake:


ZeroDegree.
AUDIO: Sikliza wimbo mpya wa Msanii Ben Pol - 'Phone' akimshirikisha mnaigeria, Mr Eazi. AUDIO: Sikliza wimbo mpya wa Msanii Ben Pol - 'Phone' akimshirikisha mnaigeria, Mr Eazi. Reviewed by Zero Degree on 1/04/2017 05:40:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.