Loading...

Chelsea yatoka kifua mbele, wakati Terry akipewa kadi nyekundu.

Nahodha wa Chelsea John Terry alitimuliwa uwanjani dakika ya 66, baada ya kupewa kadi nyekundu, ambayo ndiyo yake ya kwanza tangu mwezi Oktoba wakati ambapo Chelsea wamewanyuka Peterborough mabao 4-1.

Chelsea waliitawala mechi hiyo licha ya kukabiliwa na mashambulizi kadhaa kutoka kwa Peterborough.

Terry alipewa kadi nyekundi baada ya kumchezea vibaya mshambulizi Angol.

Kutimuliwa kwa Terry ni pigo kwa Chelsea ambao wameonyesha mchezo safi baada ya kushindwa na Tottenham, ambacho ni kipigo chao cha kwanza kati ya mechi 13 walizocheza.



ZeroDegree.
Chelsea yatoka kifua mbele, wakati Terry akipewa kadi nyekundu. Chelsea yatoka kifua mbele, wakati Terry akipewa kadi nyekundu. Reviewed by Zero Degree on 1/08/2017 11:15:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.