Loading...

Guardiola Ujanja mfukoni.

Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp akiwa Kocha na mwenzake wa Manchester City, Pep Guardiola.
Klabu ya Liverpool iliendeleza juhudi zake za kutaka kushinda taji la ligi ya Uingereza na kupanda hadi pointi sita nyuma ya viongozi wa ligi Chelsea kupitia ushindi wao dhidi ya Manchester City.

Georginio Wijnaldum alifunga bao kunako dakika ya nane kutoka kwa krosi iliopigwa na Adam Lallana ili kuiweka Liverpool katika nafasi ya pili ya jedwali la ligi katika uwanja wa Anfield.

Kocha wa Liverpool aliongoza sherehe za ushindi huo mwisho wa mechi iliokuwa na visa vingi.

City waliotafuta bao kwa udi na uvumba waliimarika katika kipindi cha pili lakini hawakumtishia kipa wa Liverpool Simon Mignolet na kushindwa kwao kunawawacha pointi 10 nyuma ya Chelsea.

Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amesema bado hajafikiria kwamba huenda akashinda ligi na anasema kwamba atakuwa na hamu ligi inapokamilika.

ZeroDegree.
Guardiola Ujanja mfukoni. Guardiola Ujanja mfukoni. Reviewed by Zero Degree on 1/01/2017 05:09:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.