Loading...

Mourinho afunguka kuhusu mshambuliaji wake mkongwe, Zlatan Ibrahimovic.

Mchezaji wa klabu ya Manchester United Zlatan Ibrahimovic mwenye umri wa miaka 35 inaoanekana sasa amenogewa kuendelea kuvaa jezi ya Old Trafford.


Kwa wakati huu anataka kupewa nafasi zaidi ya kukipiga kwa msimu mmoja zaidi akiwa na United. amesema Jose Mourinho. Zlatan Ibrahimovic ambaye hadi saivi ameshaifungia timu hiyo magoli 18 katika mechi 28 alizocheza.

ZeroDegree.
Mourinho afunguka kuhusu mshambuliaji wake mkongwe, Zlatan Ibrahimovic. Mourinho afunguka kuhusu mshambuliaji wake mkongwe, Zlatan Ibrahimovic. Reviewed by Zero Degree on 1/03/2017 06:58:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.