Mshindi wa tuzo ya Bao bora duniani mwaka 2016.
Mohd Faiz Subri ndiye raia wa kwanza wa Malaysia kushinda tuzo hiyo |
Faiz, anayechezea klabu ya Penang FA ndiye raia wa kwanza kabisa wa Malaysia kuwa mshindi wa tuzo hiyo.
Mchezaji huyo wa miaka 29 kutoka Penang alipata karibu asilimia 60 ya kura zilizopigwa kwa bao lake la frikiki alilofunga mechi ya Ligi Kuu ya Maaysia dhidi ya timu ya Pahang mwezi Februari
Alikabidhiwa tuzo hiyo na mchezaji soka mahiri kutoka Brazil, Ronaldo.

Faiz akikabidhiwa tuzo yake na Ronaldo |
Waliokuwa wanashindania tuzo hiyo mwaka huu ni Marlone na kiungo wa kati wa Venezuela Daniuska Rodriguez.
Cristiano Ronaldo wa Ureno na Real Madrid alishinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka duniani na kumshinda Lionel Messi wa Barcelona na Argentina.

ZeroDegree.
Mshindi wa tuzo ya Bao bora duniani mwaka 2016.
Reviewed by Zero Degree
on
1/10/2017 06:07:00 PM
Rating: