Rais Magufuli afanya uteuzi wa mabalozi watano wa kuiwakilisha Tanzania
Rais John Magufuli amewateua Mabalozi watano kuiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali.
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imewataja Mabalozi walioteuliwa na vituo vyao vya kazi kuwa ni Mbelwa Kairuki, Beijing – China, George Madafa, Rome – Italy, Emmanuel Nchimbi, Brasilia – Brazil, Fatma Rajab, Doha- Qatar, Prof. Elizabeth Kiondo, Ankara – Uturuki na Dkt. James Msekela, Geneva – Umoja wa Mataifa.
Mabalozi hawa wataapishwa kesho saa 10:30 jioni Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Wakati huo huo Rais Magufuli amemteua Muhidin Mboweto kuwa Balozi.
Taarifa hiyo imesema tarehe ya kuapishwa na kituo cha kazi cha Mboweto kitatangazwa baadaye.

ZeroDegree.
Rais Magufuli afanya uteuzi wa mabalozi watano wa kuiwakilisha Tanzania
Reviewed by Zero Degree
on
1/19/2017 07:53:00 PM
Rating: