Loading...

Serena Williams amshinda dada yake kwenye fainali za Australian Open, ..hii ndio rekodi yake mpya aliyoandika

Serena Williams ameandika historia kwenye tennis kwa mara nyingine baada ya kumshinda dada yake Venus kwenye mashindano ya Australian Open.

Serena amshinda dada yake kwa seti 6-4 6-4, na kufikisha mataji ya grand slam 23.

Kwa ushindi huo, mchezaji huyo wa Marekani amechukua taji lake mchezaji nambari moja wa mchezo huo lililokuwa ikishikiliwa na Mjerumani, Angelique Kerber.



Mchezaji wa Australia Margaret Court, mwenye vikombe 24, ndiye mchezaji pekee aliye juu ya Serena katika mataji Grand Slam ya mchezaji mmoja mmoja.

ZeroDegree.
Serena Williams amshinda dada yake kwenye fainali za Australian Open, ..hii ndio rekodi yake mpya aliyoandika Serena Williams amshinda dada yake kwenye fainali za Australian Open, ..hii ndio rekodi yake mpya aliyoandika Reviewed by Zero Degree on 1/28/2017 08:00:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.