Loading...

VIDEO: Cheki video ya wimbo wa Darasa - 'MUZIKI' ilivyorudiwa na Joti

Imekuwa kawaida ya mchekeshaji Joti kuzirudia baadhi ya nyimbo zinazofanya vizuri, time hii ameirudia ya Darassa ya ‘Muziki’ ambayo ni moja kati hit single zilizofunga mwaka 2016 vizuri kabisa na bado ikiwa inaendelea kufanya vizuri mpaka sasa kwenye TV na Radio station.



ZeroDegree.
VIDEO: Cheki video ya wimbo wa Darasa - 'MUZIKI' ilivyorudiwa na Joti VIDEO: Cheki video ya wimbo wa Darasa - 'MUZIKI' ilivyorudiwa na Joti Reviewed by Zero Degree on 1/13/2017 07:53:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.