Vodacom, Tigo na Airtel zatuma maombi ya kujiunga katika soko la hisa [DSE]
Meneja mauzo na Biashara wa (DSE), Patrick Mususa akizungumza na waandishi wa Habari |
Tayari makampuni matatu ya simu hapa nchini yametuma maombi ya kujiunga katika soko la hisa la Dar es salaam kwa ajili ya kuuza hisa kwa Watanzania. Miongoni mwa makampuni hayo ni pamoja na Airtel (Ltd ), MIC (LTD)Tigo na Vodacom Tanzana.
Hata hivyo amesema mbali na kampuni hizo, hadi sasa bado hawajapokea makampuni mengine ya mawasiliano.
Akizungumza na wandishi wahabari leo 9 Januari 2017, Meneja mauzo na Biashara wa (DSE), Patrick Mususa amesema tayari maombi yao wameshawasilisha taarifa na maombi yao kwani tayarai walisha jiorodhesha mwishoni mwa mwezi Desemba 2016, wito huu unaendana na sheria ya Serikali kwa kuzitaka kampuni ambazo tayari zinamiliki leseni kujiunga na soko la hisa.
Ubao wa soko la hisa.. |
ZeroDegree.
Vodacom, Tigo na Airtel zatuma maombi ya kujiunga katika soko la hisa [DSE]
Reviewed by Zero Degree
on
1/09/2017 06:15:00 PM
Rating: