Loading...

Alichoandika Askofu Gwajima baada ya kuachiwa na Polisi jana

Askofu Josephat Gwajima wa kanisa la Ufufuo na Uzima ameachiwa na Polisi jana jioni baada ya mahojiano yaliyodumu toka Alhamisi mchana kwenye kituo cha Polisi kati Dar es salaam kufuatia sakata la dawa za kulevya.

Baada ya kuachiwa Askofu huyo aliandika yafuatayo kwenye mitandao yake ya kijamii >>> 

“FREE AT LAST: Mungu awabariki wote mlioomba kwa ajili ya jambo hili, kesho nitakuwepo kwa ajili ya Ibada ya Jumapili, Kanisa la Ufufuo na Uzima Dar es Salaam. Mungu awabariki sana nawapenda nawaombea wote mlioomba kwaajili ya hili”

Source: MillardAyo
Alichoandika Askofu Gwajima baada ya kuachiwa na Polisi jana Alichoandika Askofu Gwajima baada ya kuachiwa na Polisi jana Reviewed by Zero Degree on 2/12/2017 01:37:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.