Loading...

AUDIO: Wimbo mpya wa msanii Baba Levo akimshirikisha Sholo Mwamba – 'Kigoma Noma'

Muheshimiwa Diwani wa Kigoma D_One Baba Levo ameachia wimbo mpya unaitwa “Kigoma Noma”, Humu ndani amemshirikisha mkali wa Kisingeli Sholo Mwamba, Production ni Wasafi Records kwa producer Laizer Classic.


Burudika nao hapo chini:

AUDIO: Wimbo mpya wa msanii Baba Levo akimshirikisha Sholo Mwamba – 'Kigoma Noma' AUDIO: Wimbo mpya wa msanii Baba Levo akimshirikisha Sholo Mwamba – 'Kigoma Noma' Reviewed by Zero Degree on 2/01/2017 02:00:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.