Loading...

Hii hapa orodha ya wanamichezo walioingiza fedha nyingi kwa mwaka wa 2016

Mtandao wa Forbes umetangaza majina ya wanamichezo walioingiza fedha nyingi kwa mwaka jana. Nahodha wa timu ya taifa ya Ureno na klabu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo ameongoza orodha hiyo akiwa ameingiza jumla ya kiasi cha dola milioni 88 huku dola milioni 56 akiwa ameingiza kupitia mishahara yake mbalimbali pamoja na dola milioni 32 alizoingiza kupitia dili zake za matangazo.

Hasimu wake wa muda mrefu, Lionel Messi ameshika nafasi ya pili kwenye orodha hiyo akiwa ameingiza kiasi cha dola milioni 81.4.

Tazama hapa chini majina 20 ya wanamichezo walioingiza fedha nyingi mwaka jana.
  1. Cristiano Ronaldo, football, $88M
  2. Lionel Messi, football, $81.4M
  3. LeBron James, basketball, $77.2M
  4. Roger Federer, tennis, $67.8M
  5. Kevin Durant, basketball, 56.2M
  6. Novak Djokovic, tennis, 55.8M
  7. Cam Newton, American football, $53.1M
  8. Phil Mickelson, golf, $52.9M
  9. Jordan Spieth, golf, $52.8M
  10. Kobe Bryant, basketball, $50M
  11. Lewis Hamilton, Formula One, $46M
  12. Tiger Woods, golf, $45.3M
  13. Eli Manning, American football, $45M
  14. Joe Flacco, American football, $44.5M
  15. Tom Brady, American football, $44.1M
  16. Floyd Mayweather, boxing, $44M
  17. Rory McIlroy, golf, $42.6M
  18. Russell Wilson, American football, $41.8M
  19. Sebastian Vettel, Formula One, $41M
  20. Philip Rivers, American football, $38M
Hii hapa orodha ya wanamichezo walioingiza fedha nyingi kwa mwaka wa 2016 Hii hapa orodha ya wanamichezo walioingiza fedha nyingi kwa mwaka wa 2016 Reviewed by Zero Degree on 2/04/2017 06:36:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.