Loading...

PICHA: Lowassa, Mbowe na Wema walivyoshuhudia Simba ikiichakaza Yanga Taifa

Waziri Mkuu wa zamani nchini, Edward Lowasa aliyekuwa mgombea wa Urais wa CHADEMA na UKAWA katika uchaguzi Mkuu uliopita akiwapungia mkono mashabiki wa Simba kabla ya mchezo wao dhidi ya Yanga leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam wakishinda 2-1.

Hapa Lowasa anasilimiana na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye

Hapa Lowassa anasalimiana na Rais wa TFF, Jamal Malinzi

Mashabiki wa Yanga wakiwa wamemgeukia Lowasa wakati anawasalimia

Mashabiki wa Simba wakiwa wamemgeukia Lowasa wakati anawasalimia

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (katikati) akiwa na mwigizaji nyota wa Bongo Muvi, Wema Sepetu aliyejiunga na chama hicho juzi wakiingia Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam kushuhudia mchezo wa mahasimu wa hadi, Simba na Yanga
PICHA: Lowassa, Mbowe na Wema walivyoshuhudia Simba ikiichakaza Yanga Taifa PICHA: Lowassa, Mbowe na Wema walivyoshuhudia Simba ikiichakaza Yanga Taifa Reviewed by Zero Degree on 2/25/2017 07:08:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.